IBADA MAALUM || KURUHUSU MALAIKA WA UCHUMI WAFANYE KAZI KWENYE FAMILIA ZETU
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2025-03-08
Просмотров: 12443
BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutupa nafasi ya kuwa na kongamano siku ya leo. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada hii maalum inayokujia leo siku ya Jumapili tarehe 09 Machi 2025 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii maalum ina kichwa cha somo "KURUHUSU MALAIKA WA UCHUMI WAFANYE KAZI KWENYE FAMILIA ZETU"
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: