NGOMA ya Mzee MANDEVU
Автор: takajua
Загружено: 2025-08-03
Просмотров: 450
HADITHI - Sikiliza - Siku moja, taharuki ilitanda kijijini. Wanyama wa porini—ndovu, chui, tumbili na wengine—walikuwa wamevamia mashamba na makazi ya wanakijiji. Kitu cha ajabu kilianza kutokea! Mbuzi wa kijiji waliinua vichwa vyao na kuanza kuruka-ruka kwa furaha.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: