METHALI MIA - JE UNAJUA? Sikiliza na utafakari Ongeza hapa
Автор: takajua
Загружено: 2022-05-25
Просмотров: 39092
Pata kujua methali aina tofauti za kale na zinazotumika hata sasa. Sema utambulike na uonyeshe ueledi wako. Lakini swali ni kama unazifahamu methali zote? Kuanzia haba na haba hujaza kibaba hadi ndege kuruka na ubawa wake. Haya yote yatatumika vipi katika maisha ya kisasa? Iko na nafasi katika teknolojia au lazima tubuni methali zingine tofauti?
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: