MZEE MAWAIDHA na SEMI MIA MOJA
Автор: takajua
Загружено: 2023-07-17
Просмотров: 1021
Usifuje hela zako na usipoteze muda wako na watu ambao hawafai. Mtu mwerevu hukosea lakini mwenye hekima hutafuta mtu mwerevu na kujifunza kuepuka kosa kabisa.Ufanye kazi kwa ustadi na uamini utakula jasho yako.Kuwa sahihi ukijifunza kusema na kuwaq mwaminifu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: