Jinsi ya kutengeneza Smoothie ya parachichi na ndizi//Avocado & banana Smoothie
Автор: It's Ngaki
Загружено: 2019-10-17
Просмотров: 17507
Hello wapendwa karibuni kwenye channel yangu.
Leo jifunze jinsi ya kutengeneza smoothie ya parachichi na ndizi
Mahitaji:
Ndizi 2
Parachichi 1
( unaweza kuweka idadi zaidi)
Maziwa fresh
Hakikisha unaosha matunda yako kwa usafi
Alafu unavimenya unaweka kwenye blander yako pamoja na maziwa unaanza kubland.
Enjoy xo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: