UJENZI WA LAMI NZERA MKANDARASI, MHANDISI TARURA WAKAMATWA ''MAKARAVATI YAWAPONZA''.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2023-01-19
Просмотров: 477
Mkuu wa Wilaya ya Geita Wilson Shimo amewagiza Askari wa kituo cha Polisi Nzera kuwakamata Mkandarasi wa Kampuni ya M/S EVAX CONSTRUCTION LTD na Mhadisi wa TARURA Wilaya ya Geita baada ya kuidangaya Kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Geita kuhusu makaravati yanayotumika kwenye ujenzi wa lami ya nzera.
#mwangazatvupdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: