Relationship Seminar Season IV - ROBERT MBELWA (KUJENGA MSINGI IMARA WA MAHUSIANO NA NDOA)
Автор: Carlos Kirimbai
Загружено: 2024-05-01
Просмотров: 255
Huduma ya The Due Manna inakuletea tena Semina nyingine maalum ya siku moja inayokwenda kwa jina la Semina ya Mahusiano awamu ya nne yaani Relationship Seminar Season IV ambayo itakuwa na dhima kuu HURU NA HURU KWELI KWELI itakayofanyika siku ya Ijumaa ya tarehe 26/04/2024 kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni katika Ukumbi wa Kanisa la City Christian Centre CCC Upanga.
Unaweza kuwa huru na huru kweli kweli katika Kristo kwenye mahusiano yako kwa kuijua kweli ya Kristo iwekayo huru kweli kweli katika eneo la mahusiano.
Waalimu watakaotuhudumia siku hiyo watakuwa:
1. Carlos Ricky Wilson Kirimbai.
2. Francis Langula.
3. Sosthenes Christopher; na
4.Daktari Robert Mbelwa.
Maisha yako hayatabaki pale yalipokuwa kabla ya semina hii.
Karibu sana katika hii semina maalum ya siku moja iliyoandaliwa maalum kwa ajili yako.
Mkaribishe na mwingine.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba ya simu 0769874386.
MUUNGANO DEI 2024
HURU NA HURU KWELI KWELI.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: