Polisi yaua majambazi watano Arusha
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-01-30
Просмотров: 1676
Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa kuzuia tukio la uhalifu na kuwaua majambazi watano waliokuwa kwenye njama ya kufanya uhalifu.
Mauaji hayo yalitokea baada ya majambazi hao kuanza kuwashambulia askari.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: