NOMA! ASKARI KILA KONA ARUSHA , "WALEVI / MKIBIPU SI TUNAPIGA " - RPC
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-12-31
Просмотров: 281535
NOMA! ASKARI KILA KONA ARUSHA , "WALEVI / MKIBIPU SI TUNAPIGA " - RPC
vikosi vya askari wa jeshi la polisi jijini Arusha wakiwa na magari zaidi ya 50 yakiwemo ya maji ya kuwasha walipopita katika mitaambalimbali ya jiji hilo kwa lengo la kujiweka tiyari kukabili uhalifu kwenye mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya Askari hao walifanya doria katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kujiweka tayari katika kupambana na uhalifu wa aina yoyote unaoweza kujitokeza katika mkesha wa mwaka mpya.
Hata hivyo wananchi walioshuhudia vikosi hivyo vya polisi walipatwa na taharuki baada ya kuonaidadi kubwa ya askari hao waliokuwa wamevalia mavazi rasmi ya kikomandoo wakiwa kwenye magari ya wazi na silaha za moto na mabomu ya machozi wakiimarisha ulinzi na kuwahakikishia wananchi usalama wa kutosha.
GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?li
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: