Fr Kamugisha Msamaha Pt1: Msamaha unabadili historia/Samehe bila kikomo/Samehe vitu/
Автор: Faustin Kamugisha
Загружено: 2021-02-20
Просмотров: 35959
Ni mafundisho ya Kwaresima yaliyotolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba kanisa kuu la Jimbo (Cathedral) na mapadre mbali mbali wa Jimbo hilo.
#ShajaraFaraja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: