Padre Dkt Kamugisha Msamaha Pt2: Msamaha ni hekima/ Msamaha unawezekana/Msamaha ni manukato/
Автор: Faustin Kamugisha
Загружено: 2021-02-22
Просмотров: 13314
Ni mafundisho Sehemu ya pili ya Mafundisho ya Kwaresima kuhusu Msamaha yaliyotolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika Kanisa kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Bukoba. Mafundisho haya hutolewa kila Ijumaa baada ya njia ya msalaba na mapadre mbali mbali wa Jimbo hilo.
#ShajaraFaraja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: