MISA TAKATIFU YA MAZISHI YA MAREHEMU EMERICIANA MBATIELA KUTOKA KANISA KUU ,JIMBO KATOLIKI TANGA
Автор: St. Anthony's Cathedral Tanga
Загружено: 2025-12-12
Просмотров: 425
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi na Maziko ya Marehemu Mama Emericiana Mbatiela kutoka Kaniza Kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua - Chumbageni, Jimbo Katoliki Tanga tarehe 12.12.2025 kuanzia saa nane kamili mchana (08:00).
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
[email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: