Wali wa mandi wa nyama | Jinsi yakupika wali wa mandi wa nyama mtamu sana .
Автор: Rukia Laltia
Загружено: 2020-05-17
Просмотров: 42586
#mapishiyakiswahili #mandi #waliwamandiwanyama
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
English recipe follow the link➡️ • Mutton mandi recipe | How to make easy and...
For more swahili videos follow ➡️ / @villagelife2024-g3r
➡️ / @husna_laltia
➡️ / @eastafricanfoodsrecipes9183
Mahitaji ya nyama:
Miguu wa kondoo
Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2
Ndimu 1
Mafuta
Garamasala
Paprika
Chumvi
Pilipilimanga
Manjano
Beefmasala
Mahitaji ya wali :
Mchele vikombe 2
Mdalasini
Karafuu
Pilipilimanga
Iliki
Bayleaves
Zabibu
Lozi
Mafuta
Maji
Zafran /rangi ya machungwa
Vitunguu maji 2
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: