MFUMO WA UZAZI-NAMNA YA KUPATA UJAUZITO part 3
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2020-06-21
Просмотров: 1200
Bwana Yesu asifiwe Sweethearts...
Neno linasema...
“Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.”
MWA. 1:28 SUV
Leo tunaendelea na mfululizo wa masomo na maombi na leo tunaendelea na somo na kuangalia NAMNA YA KUPATA UJAUZITO ikiwa sasa ni sehem ya 3
Mungu atatupa neema ya kujifunza zaidi nini cha kufanya na leo baada ya somo TUTAKUA NA DECLARATION NDANI YA SOMO,
Kila mtu kuanzia msichana akiweza asikilize maana lina maana kubwa sana na kujiandaa ni muhimu sana,pia Mungu anaweza kulitumia kusema na wewe kwa namna nyingine kabisa...
Mungu akupe kuona anachotaka unaposikiliza leo kwa jina la Yesu..Amen.
Kumbuka:HUU NI MWISHO WA UTASA KWAKO.
Min Mocky
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: