Agape Gospel Band Ft Neema Gospel Choir - Unanitendeaga Mema (Music Video)
Автор: Agape Gospel Band
Загружено: 2025-12-17
Просмотров: 62432
1 Yohana 4:8
Mtu asiye na upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo. Na Mungu alionesha upendo wake kwetu kwa kumtuma Mwanae wa pekee ulimwenguni, ili tuwe na uhai kwa njia yake. Hivi ndivyo upendo ulivyo,
Si kwamba sisi tulikuwa tumempenda Mungu kwanza, bali kwamba yeye alitupenda hata akamtuma Mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi zetu. Wapenzi wangu, ikiwa Mungu alitupenda hivyo, basi, nasi tunapaswa kupendana
Katika msimu huu wa kusherekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo ,tumekuja na wimbo wa shukrani kwa Mungu kwa yale ametutendea
Mungu amekuwa mwema kwangu na kwako katika mwaka mzima 2026,
Karibu ubarikiwe na wimbo huu tuinue sauti za shukrani kwa Mungu wetu kwa pamoja .
#agapegospelband #neemagospelchoir #Unanitendeaga
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: