Wakazi Kisumu wasafirisha nyani KWS baada ya kuharibu mashamba na kushambulia binadamu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 1368
Wakazi wa kijiji cha Akingli kaunti Kisumu sasa wameamua kusafirisha nyani hadi afisi za KWS baada ya idadi ya wanyama hao kuongezeka. Mazao shambani yameharibiwa huku nyani hao sasa wakianza kuwavamia wanadamu. Hata hivyo, idara ya KWS imetoa onyo kwa wakazi dhidi ya kutangamana na nyani hao ambao wanaweza kusambaza magonjwa hatari kwa binadamu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: