Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

ALIMUALIKA EX WAKE MASKINI KWENYE HARUSI, ALIFIKA NA LIMOUSINE, MAPACHA NA MUME MPYA PART 1

Автор: KEN SWAHILI STORIES

Загружено: 2025-09-12

Просмотров: 31925

Описание:

PART 1
Mark alifikiri alifanya jambo kubwa kumwalika Evelyn, mke wake wa zamani, kwenye harusi yake—akidhani atamdhihaki kwa kumuonyesha alivyojaa mafanikio. Lakini alishangaa alipomuona akishuka kutoka kwenye limosini ya kifahari, akiwa na mapacha watatu wa kike na mume mpya. Hadithi hii itakushangaza. Swali ni: Je, Evelyn atamwonyesha nini Mak katika harusi hii?

Usikose kuona kile kilichotokea! Tazama hadi mwisho…

Usisahau ku-subscribe, ku-like, ku-share na ku-comment maoni yako! Tuambie unatazama kutoka wapi na ikiwa unataka sehemu ya pili ya hadithi hii!

Asante sana kwa msaada wenu katika kutengeneza hii simulizi.

MPESA TILL (BUY GOODS) - 9659571

Kila wiki tunakuletea hadithi mpya zenye maudhui ya kuvutia, zenye kuamsha hisia na kukufunza maadili. Tunalenga kukuza utamaduni wetu wa Kiswahili na kuenzi sanaa ya usimulizi kupitia njia ya kisasa. Ukisikiliza hadithi zetu, utasafiri kwa fikra hadi sehemu mbalimbali, ukikutana na wahusika wa kipekee katika mazingira ya kusisimua.

Tafadhali subscribe kwenye chaneli hii ili usipitwe na simulizi mpya.

#Simulizi #simulizizakusisimua #Swahilifolktales #Tanzaniafolktales #KenSwahiliStories #SwahiliFairyTales #kimstorytales #Tanzaniastories
#Tanzaniafolktales #simulizikenya #storytimes #kenyatales #hadithizakusisimua #AnkojaySimulizi #AnkojaySimulizi #SimuliziMix #SIMULIZIFUPIbySimuliziMix #wasafimedia #Swahilifolktales #Swahilistories #milardayo #GENIUSONE
#simulizinasauti #Africanfolktales #tales #Tanzaniatales #hadithizakusisimua #Tanzaniatopstories #Africantales #folklore #folktales #tanzania #Youtubestory​​#simulizizakutisha #swahili #swahilianimation #swahilireaction #swahiliflix #movie #film #AfricanLegends​​ #BedTimeStories​​ #Trending #UtamaduniWaAfrika #HadithiZaKusisimua #kenyatales #kenyastories #Africanstories #EastAfricastories
#Kenya #AfricanStorytelling​​ #InspiringTales​​ #Tanzaniamovies #Kenyamovies

ALIMUALIKA EX WAKE MASKINI KWENYE HARUSI, ALIFIKA NA LIMOUSINE, MAPACHA NA MUME MPYA PART 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

ALIMUALIKA EX WAKE MASKINI KWENYE HARUSI, ALIFIKA NA LIMOUSINE, MAPACHA NA MUME MPYA PART 2

ALIMUALIKA EX WAKE MASKINI KWENYE HARUSI, ALIFIKA NA LIMOUSINE, MAPACHA NA MUME MPYA PART 2

1..BILIONEA anajifanya CHIZI ili apate mtu sahihi katika makampuni yake (TanzaniaTales)

1..BILIONEA anajifanya CHIZI ili apate mtu sahihi katika makampuni yake (TanzaniaTales)

MAKAO YA MIZIMU :BINTI ALIPANDA MLIMA AKIWA PERIOD | #Haunting of Mount Gede (2025)

MAKAO YA MIZIMU :BINTI ALIPANDA MLIMA AKIWA PERIOD | #Haunting of Mount Gede (2025)

TAJIRI MMOJA ALIMTUKANA BINTI MASKINI NDANI YA GARI BILA KUJUA NDIYO MKE WAKE WA BAADAE

TAJIRI MMOJA ALIMTUKANA BINTI MASKINI NDANI YA GARI BILA KUJUA NDIYO MKE WAKE WA BAADAE

WANAZALIWA MAPACHA WA 4, BABA YAO TAJIRI, HAJUI KINACHO ENDELEA || FULL MOVIE.

WANAZALIWA MAPACHA WA 4, BABA YAO TAJIRI, HAJUI KINACHO ENDELEA || FULL MOVIE.

KATIKA MAZISHI YA DADA YANGU NILIPOKEA UJUMBE:

KATIKA MAZISHI YA DADA YANGU NILIPOKEA UJUMBE: "NIKO HAI, USIWAAMINI WAZAZI WETU" #simulizi#swahili

BILIONEA ANAJIFANYA OMBAOMBA ILI APATE MKE MWENYE MAPENZI YA KWELI | FULL MOVIE KWA KISWAHILI

BILIONEA ANAJIFANYA OMBAOMBA ILI APATE MKE MWENYE MAPENZI YA KWELI | FULL MOVIE KWA KISWAHILI

YATIMA ALIYENYANYASWA NA MAMA WA KAMBO - AKAKUTANA NA MLINZI BILA KUJUA NI BILIONEA ALIYEJIFICHA

YATIMA ALIYENYANYASWA NA MAMA WA KAMBO - AKAKUTANA NA MLINZI BILA KUJUA NI BILIONEA ALIYEJIFICHA

Baada ya KUMVUMILIA Miaka 10, Aliniangalia Machoni na Kusema:

Baada ya KUMVUMILIA Miaka 10, Aliniangalia Machoni na Kusema: "NILIFUNGA NDOA JANA "

"UKIREKEBISHA HII NITAKUOA" CEO ALIMDHIHAKI MTU ASIYE NA MAKAZI – ALICHOKIFANYA KILIMSHANGAZA#tales

Aliwalea MAPACHA WA RAFIKI yake  MAREHEMU WALIOTAKATALIWA. Kile Walichokuja Kuwa Kitakushangaza.

Aliwalea MAPACHA WA RAFIKI yake MAREHEMU WALIOTAKATALIWA. Kile Walichokuja Kuwa Kitakushangaza.

Bilionea Arudi Nyumbani Mapema, na Haamini Anachokiona😳😳😳

Bilionea Arudi Nyumbani Mapema, na Haamini Anachokiona😳😳😳

FULL VIDEO: BABA ALIMFUKUZA BINTI YAKE MJAMZITO — MIAKA 3 BAADAYE, ALIRUDI NA KUMSHANGAZA VIBAYA!

FULL VIDEO: BABA ALIMFUKUZA BINTI YAKE MJAMZITO — MIAKA 3 BAADAYE, ALIRUDI NA KUMSHANGAZA VIBAYA!

YATIMA anabeba mimba ya kichaa OMBAOMBA bila kujua mtu huyo ni BILIONEA anaetafuta mke #folktales

YATIMA anabeba mimba ya kichaa OMBAOMBA bila kujua mtu huyo ni BILIONEA anaetafuta mke #folktales

BINTI MASKINI AOLEWA NA MZEE WA MIAKA 70, SIKU 7 BAADAYE ANAGUNDUA SIRI YAKE😳

BINTI MASKINI AOLEWA NA MZEE WA MIAKA 70, SIKU 7 BAADAYE ANAGUNDUA SIRI YAKE😳

Bilionea Alimpenda Binti Bila Kujua Siri Kubwa Iliyofichwa Kumhusu Binti Huyo!!!

Bilionea Alimpenda Binti Bila Kujua Siri Kubwa Iliyofichwa Kumhusu Binti Huyo!!!

"VISAFISHE KWA ULIMI WAKO,” TAJIRI ANAWADHALILISHA MAPACHA WATATU HUKU WAKILIA

BIBI HARUSI ALISIKIA USALITI WA KUSHTUA WA BWANA HARUSI, AKARUDI HARUSINI KWA KISASI CHA MWISHO

BIBI HARUSI ALISIKIA USALITI WA KUSHTUA WA BWANA HARUSI, AKARUDI HARUSINI KWA KISASI CHA MWISHO

Walimcheka BABA  yao Maskini na Mgonjwa…...Kile kilichotokea baadaye 👀🔥

Walimcheka BABA yao Maskini na Mgonjwa…...Kile kilichotokea baadaye 👀🔥

BILIONEA ALIMKUTA MKEWE AKIMCHOMA HAUSIGELI KWA PASI MOTO—KISHA AKAFANYA KITU AMBACHO HAKUNA MTU...

BILIONEA ALIMKUTA MKEWE AKIMCHOMA HAUSIGELI KWA PASI MOTO—KISHA AKAFANYA KITU AMBACHO HAKUNA MTU...

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]