Familia Likoni yalilia haki kwa miaka sita baada ya mauaji ya mwanao
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-24
Просмотров: 7
Familia ya kijana kwa jina Matano Masoud katika eneo la Likoni, Kaunti ya Mombasa, yalilia haki kufuatia mauaji ya mwanao mwenye umri wa miaka 17, anayodaiwa kuuawa na maafisa wa polisi mwaka wa 2021.
Babake mwendazake ameieleza masikitiko yake kuwa licha ya kuthibitishwa kuwa mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu alipigwa risasi kichwani na kifuani, Ofisi ya ODPP imesalia kimya kwa miaka mingi bila kuchukua hatua yoyote ya kisheria. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yameilaumu ofisi hiyo huku yakitoa makataa ya siku saba kesi hiyo iangaliwe, la sivyo yataongoza maandamano makubwa kudai haki kwa kijana huyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: