Jifunze jinsi ya kukata na kushona koti la kitenge lenye ubunifu wa kisasa/Women Suit
Автор: Denblessing Creations
Загружено: 2025-10-20
Просмотров: 758
Huu ni ubunifu wa kipekee kutoka Denblessing Creations 💖
Koti hili la kitenge limebuniwa kwa ubora wa hali ya juu likiwa na muunganiko wa rangi za kupendeza na migarisho ya maroon inayoongeza mvuto.
Linafaa kwa ofisini, sherehe, au hata kutembea kifahari kila siku. 🌸
👇 Angalia video hii uone namna ubunifu huu unavyong’aa!
WhasApp me 0653927769
Back Ground Music : Lay down beside you
Musician : Carl Storm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: