🛑
Автор: KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 1495
Karibu kufuatilia adhimisho la Misa Takatifu kutoka Parokia ya Bikira Maria Consolata Kigamboni, Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam; Misa ya MKESHA WA NOEL ikihudumiwa na Kwaya ya Mtakatifu Alois Gonzaga.
Matangazo haya ya Mubashara yanakujia kupitia channel ya Kwaya ya Mt. Alois Gonzaga, kwa udhamini wa Kampuni ya JMK MEDIA
Usiache Kusubscribe, kulike na kushare...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: