BADRIA ATTAI SASA AGEUKIA TIMU ZA MPIRA JIMBONI KWAKE, MAKUBWA YATEKELEZWA
Автор: ASAM Online TV
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 508
Mwakilishi wa Jimbo la Kijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Badria Attai Masoud, amekutana na vijana wa hamasa pamoja na timu za mpira wa miguu wa jimbo hilo kwa lengo la kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni.
Katika kikao hicho, amesisitiza dhamira yake ya kuwa karibu na vijana, kuunga mkono michezo na kuhakikisha ahadi alizotoa zinatimia kwa vitendo, sambamba na kuimarisha mshikamano na maendeleo ya kijamii katika Jimbo la Kijini.
#AsamOnlineTV #JimboLaKijini #VijanaNaMaendeleo #Michezo #AhadiZatekelezwa #UongoziWaVitendo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: