Ukurasa wa kumi na mbili:Uvunaji wa maji ya mvua utamfaidisha nani ?
Автор: Unesco Africa
Загружено: 2018-11-08
Просмотров: 105
mfululizo wa video zinazo tengenezwa na shirika la Umoja wa Mataifa (UNESCO) linalo jihusisha na mpango wa maji kimataifa, kuhusu kufahamu na kuchukua hatua katika uvunaji wa maji ya mvua kama sehemu ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika kila nchi ikiwemo kufikia utekelezaji wa ajenda ya kimataifa ifikapo mwaka 2030 na kufikia Afrika tuitakayo mwaka 2063.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: