LORI na BASI ZAGONGANA na KUUA DEREVA SHINYANGA - 12 WAJERUHIWA - KAMANDA ATHIBITISHA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 1404
LORI na BASI ZAGONGANA na KUUA DEREVA SHINYANGA - 12 WAJERUHIWA - KAMANDA ATHIBITISHA...
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha roli na basi, iliyotokea leo Januari majira ya saa 12:30 asubuhi katika eneo la Mnada wa Tinde, wilayani Shinyanga.
Marehemu ni dereva wa roli Hitayezu Elias (35), lenye namba za usajili RAE 849 N kutoka nchini Rwanda, ambaye alikuwa amebeba shehena ya mchele
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: