MMOJA AFARIKI AJALI YA BASI LA LORI, SHINYANGA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 2139
#HABARI: Mtu mmoja ambaye ni dereva wa lori la mizigo amepoteza maisha katika ajali iliyotokea asubuhi ya leo Januari 27, 2026 majira ya saa 12:00 asubuhi, katika eneo la Mnadani wa Tinde Kata ya Tinde, Halmashauri ya Shinyanga mkoani Shinyanga.
Ajali hiyo imehusisha basi la abiria la Kampuni ya KISIRE lenye namba za usajili T 229 EEL, lililokuwa likitoka Kahama kuelekea Mwanza, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo lililokuwa limebeba shehena ya mchele kutoka Dar es Salaam kwenda Rwanda.
Kwa mijibu Kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga amesema chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva wa Basi la Kampuni ya Kisire ambalo lilikuwa linatokea wilayani Kahama kuelekea mkoani Mwanza.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: