Kazi Canada 2025 | LMIA, AIP & Arrima | Get Real Jobs from Job Bank Canada
Автор: leza tv canada
Загружено: 2025-09-25
Просмотров: 6548
🇨🇦 Unataka kazi Canada kutoka Africa (Kenya, Tanzania, Congo, Uganda, Rwanda)? Katika video hii nimekuonyesha njia tatu kubwa za kupata kazi Canada:
👉 LMIA (Labour Market Impact Assessment)
👉 AIP (Atlantic Immigration Program)
👉 Arrima (Quebec Immigration Program)
Nimeeleza faida na challenges za kila program, na vile unaweza kupata kazi moja kwa moja kupitia Job Bank Canada, ambayo ni official government website ya kazi.
🔵 Job Bank Canada (official link):
https://www.jobbank.gc...
➡️ Tazama pia hizi video zangu kwa maelezo zaidi:
1. LMIA Jobs in Canada 👇👇👇
• Canada LMIA Jobs 2025 : Temporary Foreign ...
2. AIP Jobs in Canada (link hapa)
• Jinsi ya Kupata PR Canada 🇨🇦 kupitia kazi ...
3. ARRIMA QUEBEC IMMIGRATION PROGRAM
• Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Arrima Step ...
📌 Usisahau kusubscribe kwenye channel hii Leza TV Canada kwa updates za kila wiki kuhusu kazi, maisha na immigration Canada.
#CanadaJobs #LMIA #AIP #Arrima #JobBankCanada #EastAfricaToCanada #LezaTVCANADA
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: