Wateja kutoka Somalia watafuta huduma huko Lamu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-11-01
Просмотров: 2881
Wakaazi wa Kiunga eneo lililoko Mpakani mwa Kenya na Somalia katika kaunti ya Lamu wamekuwa wakisafiri hadi Kisiwani Amu kusaka mafundi wa kushona nguo au kurekebisha mashini zao za boti zinapoharibika. Hali hii ni kutokana na ukosefu wa mafundi eneo hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: