Daraja la Faza lawakosesha wakaazi wa Lamu raha
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-08-18
Просмотров: 5715
Wakaazi katika kijiji cha Faza Kisiwa cha Pate, Lamu Mashariki wanalalamika daraja linalounganisha kijiji hicho na vijiji vyengine Kisiwa humo kuwa nyembamaba na imesababisha ajali nyingi huku wakaazi pia wakipoteza maisha yao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: