Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

ASIMULIA MWANAE ALIVYONG'ATWA NA NYOKA KITANDANI HADI KUFARIKI "ULIMI ULIBADILIKA RANGI".

Автор: GADI TV

Загружено: 2023-05-10

Просмотров: 21142

Описание:

Mwanafunzi wa darasa la nne shule ya Msingi Maweni kata ya Terati Jijini Arusha Rashidi Ismail (11), amefariki dunia baada ya kung’atwa mkono na nyoka aina ya Cobra alipokuwa amelala kwenye kitanda kimoja na watoto wenzake watatu pamoja na wazazi wake wawili Jijini humo.

Inaelezwa kuwa usiku wa saa sita Rashidi alishtuka usingizini na alisikika akisema ameng’atwa na kitu asichokijua akionesha mkono wake sehemu alipong’atwa, baada ya muda ulimi wake ulianza kuwa mzito na kuanza kubadilika rangi na kuwa mweusi huku akiomba maji, na alipopatiwa maji alianza kutapika matapishi yaliyo ambatana na mapovu, mwili nao ukionekana kukosa nguvu kadri muda ulivyokuwa unaenda.

Familia ikiwa katika mshangao usiku huo ililazimika kupiga kelele za kuomba msaada, na watu walijitokeza na kuamua kumpeleka Rashidi katika hosptali ya Murieti Jijini humo kwa ajili kuchunguzwa na walipofika hosptalini hapo Rashidi alikuwa tayari ameshapoteza maisha, baada ya mwili wa Rashidi kufanyiwa vipimo usiku huo familia iliambiwa kifo chake kimetokana na kung’atwa na nyoka.

Hata hivyo familia hiyo waliporudi nyumbani kumtafuta nyoka huyo walimkuta amejiviringishia kwenye blangeti walilokuwa wamejifunikia. #GADITVUPDATES

GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa, Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected]

Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.

ASIMULIA MWANAE ALIVYONG'ATWA NA NYOKA KITANDANI HADI KUFARIKI "ULIMI ULIBADILIKA RANGI".

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MKE ATAKA MUME WAKE APATIKANE AWE HAI AU AMEFARIKI,

MKE ATAKA MUME WAKE APATIKANE AWE HAI AU AMEFARIKI, "HATA KAMA AMEKUFA WATUPE" MOSHI.

"BEI YA SUMU YA NYOKA IPUNGUE, WAKINA BECKHAM WANATUMIA" WIZARA YATOA AGIZO

Mambo ya kuzingatia unapoumwa na nyoka mwenye sumu

Mambo ya kuzingatia unapoumwa na nyoka mwenye sumu

MTOTO ALIYEFARIKI KWA KUNG'ATWA NA NYOKA KITANDANI, MAMA YAKE AJENGEWA NYUMBA ARUSHA

MTOTO ALIYEFARIKI KWA KUNG'ATWA NA NYOKA KITANDANI, MAMA YAKE AJENGEWA NYUMBA ARUSHA

Uking’atwa na nyoka fanya yafuatayo kuokoa uhai wako

Uking’atwa na nyoka fanya yafuatayo kuokoa uhai wako

Huduma ya kwanza kwa mtu alieng'atwa na nyoka

Huduma ya kwanza kwa mtu alieng'atwa na nyoka

MWANAUME ABADILIKA KUWA NYOKA MBEYA WAKIFANYA MAPENZI

MWANAUME ABADILIKA KUWA NYOKA MBEYA WAKIFANYA MAPENZI

#Mkasa wa Dereva Lori aliyemkanyaga Nyoka Mlima Kitonga /Akumbwa na  tabu na Mateso.

#Mkasa wa Dereva Lori aliyemkanyaga Nyoka Mlima Kitonga /Akumbwa na tabu na Mateso.

SIMANZI MTOTO ALIYEUAWA NA BABA YAKE KISA KUCHELESHA MCHICHA MAPYA YAIBUKA MSIBANI.

SIMANZI MTOTO ALIYEUAWA NA BABA YAKE KISA KUCHELESHA MCHICHA MAPYA YAIBUKA MSIBANI.

Բացահայտված է Բերմուդյան եռանկյունու գաղտնիքը

Բացահայտված է Բերմուդյան եռանկյունու գաղտնիքը

MTANZANIA ANAYEISHI NA NYOKA ZAIDI YA 15 NYUMBANI KWAKE

MTANZANIA ANAYEISHI NA NYOKA ZAIDI YA 15 NYUMBANI KWAKE

NYOKA MWENYE UWEZO WA KUSIMAMA NA KURUKA NI MOJA YA KIVUTIO BAGAMOYO - Sehemu ya Kwanza

NYOKA MWENYE UWEZO WA KUSIMAMA NA KURUKA NI MOJA YA KIVUTIO BAGAMOYO - Sehemu ya Kwanza

Пожилые люди теряют мышцы из-за одной ошибки—этого продукта нет в вашем рационе| Здоровье с Доктором

Пожилые люди теряют мышцы из-за одной ошибки—этого продукта нет в вашем рационе| Здоровье с Доктором

HUZUNI! KIJANA AFICHUA SIRI UCHAPAJI VIBOKO ULIVYOSABABISHA KIFO CHA RAFIKI YAKE PORINI ARUSHA.

HUZUNI! KIJANA AFICHUA SIRI UCHAPAJI VIBOKO ULIVYOSABABISHA KIFO CHA RAFIKI YAKE PORINI ARUSHA.

JAMAA ALIYEPIGIWA SIMU AKIITIWA KAZI YA UJENZI MOSHI HAONEKANI MKE WAKE ASIMULIA MAZITO.

JAMAA ALIYEPIGIWA SIMU AKIITIWA KAZI YA UJENZI MOSHI HAONEKANI MKE WAKE ASIMULIA MAZITO.

Fahamu sumu za nyoka na namna zinavyoathiri mwili wa binadamu

Fahamu sumu za nyoka na namna zinavyoathiri mwili wa binadamu

ACHOMWA KISU KWENYE KOROMEO HADI KUFARIKI BAADA YA KUTUHUMIWA ANADETI NA MKE WA JIRANI YAKE ARUSHA.

ACHOMWA KISU KWENYE KOROMEO HADI KUFARIKI BAADA YA KUTUHUMIWA ANADETI NA MKE WA JIRANI YAKE ARUSHA.

ЗАБРОШЕННАЯ МОГИЛА...ФОТО МОГИЛ актёров к\ф

ЗАБРОШЕННАЯ МОГИЛА...ФОТО МОГИЛ актёров к\ф "Джентльмены удачи" [ за кадром ]

Nyoka wa ajabu atumwa soko la Mafinga akiwa na ujumbe mzito

Nyoka wa ajabu atumwa soko la Mafinga akiwa na ujumbe mzito

Запретная кровь Японии Кем на самом деле были белые айны

Запретная кровь Японии Кем на самом деле были белые айны

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]