MSIHONGE FEDHA ZA RAIS SAMIA - DC MBEGA
Автор: MASTER VOICE TV
Загружено: 2025-10-22
Просмотров: 40
Mkuu was Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Hammad Mbega amewaambia vijana waliopata fedha za mikopo ya asilimia 10 ili wafanikiwe wasizitumie fedha hizo kwenye starehe ikiwemo kuwahonga wanawake.
Mbega ameyazungumza hayo wakati wa hafla ya utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi 78 ambapo zaidi ya milioni 641 zimetolewa ikiwa ni mkopo wa awamu ya kwanza kwa mwaka 2025/2026.
#mastervoicetv #news
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: