'Dk Mpango amepanga kooote, mpaka ameamua kutupanga na sisi wabunge'
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2016-06-14
Просмотров: 5431
Msikilize hapa Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga akichangia mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/17. Pamoja na mabo mengine amepinga tozo ya kodi kwenye kiinua mgogo cha wabunge
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: