'Nitawataja Wabunge wanaouza dawa za kulevya nikiruhusiwa' -Mlinga
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-02-06
Просмотров: 233756
Headlines za Watuhumiwa wa biashara na watumiaji wa dawa za kulevya umeendelea kuchukua nafasi baada ya kuibuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Mjadala huo umefika mpaka Bungeni Dodoma na baadhi ya Wabunge waliosikika wakichangia ni pamoja na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyesema yupo tayari hata kuwataja baadhi ya wabunge wanaohusika na bishara hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: