ACT WAZALENDO, WAMJIBU MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA UTENGUZI WA MPINA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA ACT
Автор: Unyakyusani Online TV
Загружено: 2025-08-26
Просмотров: 241
Chama cha ACT Wazalendo, kimesema kimepokea taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa juu ya uamuzi wake wa kutengua ugombea wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo
#siasa #uchaguzimkuu2025
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: