AfyaCheck S02EP12 30July2014 DegeDege na Kifafa kwa watoto
Автор: AfyaCheck
Загружено: 2014-11-13
Просмотров: 4052
AfyaCheck Darasa:
Kwenye DARASA leo Dr Isaac Maro anazungumzia hatua muhimuya ukuaji wa mtoto hususani kwenye ujengaji wa mfumo wa fahamu uliokamilika. Kwa nini watoto wachanga huwa wanashtuka sana na kwa nini huwa wanainua mikono na miguu wa naposhtuka.
MASWALI NA MAJIBU
Leo hii tuko na Dr Namala Mkopi,daktari bingwa wa afya ya watoto akiwa anazungumzia tatizo la degedege na kifafa kwa watoto.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: