"I will make sure HSBC event comes here to Kenya." | Herbert Mensah - President of Rugby Africa
Автор: Amani Sports
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 54
Rais wa muungano wa raga barani Afrika Herbert Mensah amemhakikishia waziri wa michezo wa Kenya Salim Mvurya kuwa atafanya juhudi kuleta msururu wa raga wa dunia, kuchezwa nchini Kenya.
Akizungumza katika kikao na wanahabari Alhamisi asubuhi kabla ya kung’oa nanga kwa mashindano ya wanawake wa Afrika ya raga kwa wachezaji saba kila upande, yatakayoanza Ijumaa, rais wa raga Afrika Herbert Mensah ameahidi kufanikisha hilo.
Kwa mujibu wa Mensah, Kenya ina talanta ya asili katika raga na umefika wakati wa kuiweka taifa hili katika ramani ya kimataifa.
Hata hivyo, rais huyo wa raga ya Afrika, ameirai serikali kufanya kazi bega kwa bega na shirikisho la raga nchini ili kufanikisha ndoto ya taifa hili kuandaa msururu mmoja wa HSBC.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: