Episode 7- MJUE SANA MUNGU | Sifa 13 za Mungu –Know God Deeper | 13 Attributes of God
Автор: Binti Sayuni 50
Загружено: 2025-09-02
Просмотров: 98
Karibu kwenye Sehemu ya 7 ya mfululizo wa MJUE SANA MUNGU!
Katika kipindi hiki tunazungumzia sifa 13 kuu za Mungu—ikiwa ni pamoja na kwamba Mungu ni mwema, Mungu ni wa haki, Mungu anawapenda wanaompenda Yeye, na nyingine nyingi.
Utakapojifunza nasi utagundua:
✅ Sifa mbalimbali zinazofunua Sifa za Mungu
✅ Jinsi kumjua Mungu kwa undani zaidi kunavyoweza kuimarisha imani yako
✅ Umuhimu wa kuelewa sifa hizi katika maisha ya kila siku
📖 “Bwana ndiye Mungu, naye ametujulisha nuru yake…” (Zaburi 118:27)
👉 Karibu tujifunze pamoja, tujenge imani, na tuzidi kumjua Mungu zaidi!
🔔 Usisahau ku-subscribe ili upate sehemu inayofuata.
Welcome to Episode 7 of Know God More!
In this teaching, we explore 13 key attributes of God—including His goodness, justice, love for those who love Him, and many more.
You will discover:
✅ The different attributes that reveal who God is
✅ How knowing God’s character deepens your faith
✅ Why understanding these truths is vital for daily life
📖 “The Lord is God, and He has made His light shine on us…” (Psalm 118:27)
👉 Join us to grow in faith and know God more deeply!
🔔 Don’t forget to subscribe for the next episode.
0:00 – Utangulizi: Karibu kwenye Sehemu ya 6
1:49 – Kwa Nini Mungu Anafanya inavyompendeza
6: 31 – Mpango wa Mungu Kwa maaisha yetu
12:41 – Umuhimu wa Kumwamini na kumtegemea Mungu
17;46 – Kushinda magumu kupitia kuongozwa na Mungu
20:46 –Hitimisho na mafunzo ya Leo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: