Dominika ya Tatu ya Majilio Mwaka A wa Kanisa: Furaha Katika Bwana
Автор: RADIO JANGWANI 106.3FM
Загружено: 2025-12-14
Просмотров: 86
Baba Mtakatifu Francisko anasema, Furaha ya Injili huijaza mioyo na maisha ya wote wanaokutana na Kristo Yesu. Wale wanaokubali zawadi yake ya ukombozi wanawekwa huru kuondokana na dhambi, uchungu, utupu wa ndani na upweke. Pamoja na Kristo Yesu, daima furaha inazaliwa upya na huo unakuwa ni mwanzo wa uinjilishaji mpya unaosimikwa kwa Kristo Mfufuka. Rej Evangelii gaudium, 1. Kanisa linaadhimisha pia Jubilei ya wafungwa pamoja na askari magereza.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: