IBADA YA KWANZA | JUMAPILI | 30 / 11 / 2025
Автор: Azania Front Cathedral
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 2210
Karibu katika Ibada ya Jumapili, siku ya kwanza katika Majilio (Advent), kutoka hapa kanisa Kuu Azania Front Posta Dar Es Salaam.
SOMO: BWANA MWENYE HAKI ANALIJIA KANISA
~ MATHAYO 16:27
27. Maana, Mwana wa Mtu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake. 28Kweli nawaambieni, wako wengine papa hapa ambao hawatakufa kabla ya kumwona Mwana wa Mtu akija katika ufalme wake.
▶️MHUBIRI: REV. GODFREY UWALALAZE
........................
🖋️ Masomo
ZABURI 45: 1- 7
1 Moyo wangu umejaa mawazo mema: Namtungia mfalme shairi langu, ulimi wangu ni kama kalamu ya mwandishi stadi.
2 Wewe u mzuri kuliko wanadamu wote, maneno yako ni fadhili tupu. Kwa hiyo Mungu amekubariki milele.
3 Jifunge upanga wako, ewe shujaa! Wewe ni mtukufu na mwenye fahari.
4 Songa mbele kwa utukufu upate ushindi, utetee ukweli na kulinda haki. Mkono wako utende mambo makuu.
5 Mishale yako ni mikali, hupenya mioyo ya maadui za mfalme; nayo mataifa huanguka chini yako.
6 Kiti chako cha enzi ni imara, chadumu milele kama cha Mungu. Wewe watawala watu wako kwa haki.
7 Wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuteua,
na kukupa furaha kuliko wenzako.
~ WARUMI 13: 11 - 14
11. Zaidi ya hayo, nyinyi mnajua tumo katika wakati gani: Sasa ndio wakati wa kuamka usingizini; naam, wokovu wetu uko karibu zaidi sasa kuliko wakati ule tulipoanza kuamini.
12. Usiku unakwisha na mchana unakaribia. Basi, tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie silaha za mwanga.
13. Na tuishi kwa adabu kama inavyostahili wakati wa mchana, na wala sio kwa ulafi na ulevi, uchafu na uasherati, ugomvi na wivu.
14. Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.
...........................................................................................................................................
👇👇👇
KWA MAOMBI NA USHAURI :
☎️ +255 748 290 290
MCH. VICTOR MAKUNDI
// NAMBA ZA SADAKA //
▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4
▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
▶ MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL
TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page:
/ kkkt_azaniafront_cathedral
Website: https://www.azaniafront.org/
Facebook:
/ kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079
#azaniafrontcathedral #lunchhour #lutheran
........................
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: