DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Mei 13, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-05-13
Просмотров: 6873
Yaliyomo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu mchana wa Mei 13, 2025:
Rais Donald Trump awasili Saudia Arabia kwa ziara rasmi ya Mashariki ya Kati. Mikataba kuhusu silaha na amani ni kati ya ajenda kwenye mazungumzo.
Zaidi ya watu milioni 83 wamekosa makaazi rasmi ndani ya nchi zao duniani kote.
Rais wa Kenya William Ruto kusema watu wote waliotekwa nyara wakati wa maandamano ya kupinga serikali 'wamerudishwa makwao' kunatoa maana gani kuhusu uhuru au haki ya kuandamana pamoja na wahusika wa utekaji nyara?
#DWKiswahiliPodcast #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, tafadhali bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: