kutana na Mgogo classic mwanamziki wa kizazi kipya anaefanya kilimo, kilimohalisi
Автор: KILIMO HALISI
Загружено: 2023-09-26
Просмотров: 8281
Karibu @@kilimohalisi endelea kuongeza maarifa ya kilimo kupitia ukurasa huu waalike uwapendao pia,,,
Msimu ndo umeanza Miche ya nyanya ipo na tunaendelea kusia tupe oder Yako pia tuambie mbegu ipi.utaipendelea zaidi msimu huu
Drip.kit ya tuta moja ni 15000 mita 10 ni line mbili tuta litachukua miche 134 ya mboga za majani utapanda mboga line nne ,,,,tupe oder Yako sasa kesho upokee mzigo
Hapa ni Tanzania Moshi kilmanjaro wiliya ya Hai tunabustani yetu hii lakini Miche utatumwa mkoa wowote uliopo itakufikia
Bei zetu za Miche ni hizi
Mboga 50
Nyanya 100
Hoho 100
Bilinganganya 100
Ngogwe 100
Pili pili mwendokasi 150
Papai 2500
Passion 2000
Herbs ni 5000
Rosemery,, lavender,, thyme,, majoram,,baby spinach,,, Organo,, tarragon,, fenel,,, dill,,, lemon bulm,,,
Mfumo wa umwagiliaji drip kit ni 15000 mita 10
Whatsapp number 0652553944
Unaweza kupiga simu hizi pia
0672568516
0684153567
0748664886
Tupo Bomang'ombe Kilimanjaro wilaya ya Hai lakin mkoa wowote tunatuma mizigo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: