Ni Salama Rohoni Mwangu | Irene Michael | Nyimbo Za Kristo
Автор: Nyimbo Za Kristo SDA
Загружено: 2025-06-22
Просмотров: 8168
Nionapo amani kama shwari, au nionapo shida;
Kwa hali zote umenijulisha ni salama rohoni mwangu.
CHORUS
Salama rohoni,
Ni salama rohoni mwangu.
Ingawa Shetani atanitesa, nitajipa moyo kwani,
Kristo ameona unyonge wangu; amekufa kwa roho yangu.
Dhambi zangu zote, wala si nusu, huwekwa msalabani;
Wala sichukui laana yake, ni salama rohoni mwangu.
Ee Bwana himiza siku ya kuja, panda itakapolia;
Utakaposhuka sitaogopa ni salama rohoni mwangu.
Singer: Irene Michael
Song: Ni Salama Rohoni Mwangu
Producer: Mr RJ | RJ STUDIO
You are welcome
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: