#BRAND
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-06-05
Просмотров: 7607
🔸 #MITANDAO & #BRAND | Jina Lako Lina Maana
Katika video hii, Dr. Joel Nanauka anatufundisha kuhusu umuhimu wa kuwa na chapa binafsi (personal brand) yenye mwelekeo. Unapoitwa kwa jina lako—je, watu wanakufahamu kwa lipi? Je, jina lako linaakisi thamani, uadilifu, au mafanikio?
🔸 #FOCUS | Marafiki Sahihi Ni Muhimu Sana!
Marafiki na watu wanaokuzunguka wana mchango mkubwa kwenye mafanikio au kushindwa kwako. Tafuta watu sahihi, wanaokusaidia usipoteze mwelekeo (focus) kwenye malengo yako.
✅ Katika video hii utajifunza:
Umuhimu wa kujenga chapa yako binafsi yenye mwelekeo
Sababu zinazofanya jina lako liwe na uzito au lisikumbukwe
Hatari ya kukosa mwelekeo (focus) maishani
Jinsi ya kuchagua marafiki na watu wa karibu wenye athari chanya
🔔 Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo zaidi kuhusu mafanikio, uongozi, na ukuaji wa binafsi.
💬 Comment hapo chini: Ni eneo gani la maisha yako unahitaji ku-focus zaidi kwa sasa?
Usisahau kubonyeza Like kama umejifunza kitu na share video hii na rafiki yako anayehitaji msukumo mpya.
🎧 Sikiliza H.W PODCAST kwenye Spotify, Boomplay, Apple Podcast, au jukwaa lolote la sauti unalopenda.
-- Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media --
...........................................................................................................................
#NoaMtazamo #JoelNanauka #Focus #Mafanikio #Speed #SuccessMindset #HWMEDIA #MaendeleoBinafsiKila #Mfanikio #Joel #Hamasa #Kusudi #Imani #Mafanikio #Thewisetz #H.WMedia #JoelNanauka #UimaraWaKifikra #Biashara #MaishaBinafsi #Nanauka #wisdom #thewisetz #MaishaYenyeMaana #KusudiLaMaisha #Mafanikio #Kujitambua #Motivation #Tanzania #Kenya #Uganda #Zanzibar #Congo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: