KIMARA SDA YOUTH CHOIR ||SIPATI PICHA||OFFICIAL MUSIC VIDEO-2025
Автор: KIMARA SDA YOUTH CHOIR
Загружено: 2025-08-15
Просмотров: 2388
Kimara Youth Choir
🙏🎶Please SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT and FOLLOW us on this channel and our social media pages for more update:
Facebook-Kimara Youth Choir
Intragram-Kimara Youth Choir
Tiktok-Kimara Youth Choir
"SIPATI PICHA" ni wimbo wa Injili ulioimbwa na Kwaya ya Vijana Kimara SDA, ukieleza mshangao wa mwanadamu mbele ya ukuu na matendo makuu ya Mungu. Ni wimbo wa sifa na shukrani, unaobeba hisia za furaha, imani, na mshangao wa kiroho ambao hauwezi kufafanuliwa kwa maneno. 🙏🎶
🎤 Waimbaji: Kwaya ya Vijana Kimara SDA
📅 Mwaka wa Kutolewa: 15th 2025 19:00 HRS
🏠 Mahali: Kimara, Dar es Salaam – Tanzania
Ujumbe wa Wimbo:
Mara nyingi tunapokumbuka jinsi Mungu alivyonutoa mbali, jinsi alivyotuokoa na kutupa tumaini jipya, tunabaki tu tukisema — Sipati Picha! Wimbo huu ni wito wa kumrudishia Mungu utukufu wote, kwa maana hakuna mwingine kama Yeye.
📌 Tazama sasa na usisahau:
Kusubscribe ili upate nyimbo mpya kutoka Kwaya ya Vijana Kimara SDA
Kupenda (Like) na kushare kwa ndugu na marafiki
Kuacha maoni yako ili kututia moyo
📍 Wasiliana nasi:
📞 +255 756 039 831
+255672236803
#SipatiPicha #KwayaYaVijanaKimaraSDA #WimboMpya #GospelMusic Kimarasdayouthchoir #Uzinduzi #PraiseAndWorshi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: