Ndoto ni matokeo ya chakula tulacho na chakula chetu ni Kristo
Автор: Kijiweni na Roho Mtakatifu tv
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 32
Ndoto ni matokeo ya chakula ulacho na chakula chetu ni Kristo
Shalom Wana na Urithi wa Mungu Baba katika Kristo Yesu, mliojawa na hekima katika kazi zenu zote ndani ya Ufalme wa Mungu.
Karibuni katika muendelezo wa kipindi cha Kijiweni na Roho Mtakatifu ambapo tunawaletea mfululizo wa somo la Roho wa Neema, Utofauti na utajiri uliomo katika ndoto tukiwa na Mtume wa Kristo wilbert Robert.
Tunamshukuru Mungu Baba kwa muendelezo wa somo hili nzuri ambapo tunazidi kuona kuwa ndoto ni matokeo ya Ujumbe sahihi wa Yesu Kristo na kazi kamilifu ya msalaba vinginevyo ni mzigo mzito sana.
Karibuni mezani pa kifalme mpate kushiriki nasi mlo mzuri ulioandaliwa mezani.
Tunaomba radhi kwa sehemu ndogo ambayo sauti ilishuka kidogo kutokana na vifaa kutoshika sauti bila sisi kujua ila Neema ya Kristo ni kuu.
Tunapenda kuwashukuru nyote mnaojitoa katika maono haya kwa vifaa, muda, MBs, fedha, eneo, kushare link kwa watu mbalimbali na namna nyingine zote. Mmebarikiwa sana na Mungu Baba katika Kristo Yesu.
#Kijiwe ni kimoja, Kijiweni na Roho Mtakatifu
“Tulio na Mungu, tuna Roho wa Mungu.”
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: