Kijiweni na Roho Mtakatifu tv
“Mazao ya mwenye haki ni mti wa uzima, Na mwenye hekima huvuta roho za watu.” Mithali 11:30
“The Fruit of the righteous is the tree of life, And he who wins and captures souls is wise.” Proverbs 11:30
“Tulio na Mungu, Tuna Roho wa Mungu.”
SISI NI NURU YA ULIMWENGU
Ndoto ni matokeo ya chakula tulacho na chakula chetu ni Kristo
Ndoto yako, unabii wa maisha yako
Je, unaifahamu siri ya kutembea katika Roho wa Neema na Utofauti?
Tuna Roho wa Mungu; tuna Roho wa Neema na Utofauti
Roho wa neema, utofauti na utajiri wa ndoto(inakujia hivi karibuni)
Je, unafurahia ndoto zako unazopata?
Tambua mamlaka yako kama Mwana wa Mungu ili uweze kutawala
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako [1 Timotheo 4:12]
Fanya utofauti mahali ulipo
Kuna utajiri wa kila namna nyumbani(katika Familia)
Mbwa bora kwa ulinzi bora
Mbwa huijua, huisikia na kuitii sauti ya Bwana[Mmiliki] wake (Mathayo 15:27)
Haiwezekani kutawala pasipo kutiisha kwanza #Mwanzo 1:26
MAZOEZI NI AFYA YA AKILI NA MWILI KWA MBWA WAKO.
Kuishi sahihi, maamuzi sahihi ni zao la uwezo wa kufikiri sahihi #MK9 #Kijiweni
Kijiweni na Roho Mtakatifu na MK9
Twenzetu fungateni na Roho Mtakatifu [31/12/2024]
“Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo.” 1 Kor 11:1 NEN
Uzoevu pekee wa kumlea Mwanao katika malezi bora ni matokeo ya kumjua Mungu Baba [Efe 3:14-15]
TAIFA IMARA NI ZAO LA FAMILIA IMARA.
"...Mrithi, akiwa bado mtoto, hawi tofauti na mtumwa ingawaje mali yote ni yake..." Gal4:1
Je, kuna ulazima wa mzazi / mlezi kufahamu nini Mungu Baba amewekeza juu ya Mwanaye?
KWA NINI HUDUMA YA WANA[MIAKA 0-14] NA SI HUDUMA YA WATOTO?
HUDUMA YA WANA[MIAKA 0-14] … inakujia hivi karibuni
HUDUMA YA WANA[MIAKA 0-14]… (inakujia hivi karibuni)
#3yearanniversary #rohomtakatifu #todaynews
#3yearanniversary #KijiweninaRohoMtakatifu
Miaka 3 ya Kuongozwa na Roho Mtakatifu katika Uinjilishaji wa injili ya Ufalme wa Mungu.