Haiwezekani kutawala pasipo kutiisha kwanza
Автор: Kijiweni na Roho Mtakatifu tv
Загружено: 2025-08-12
Просмотров: 76
“Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.”
Mwa 1:26 SUV
Shalom Wana na Urithi wa Mungu Baba katika Kristo Yesu, mliojawa na shangwe, furaha na amani ya Mungu Baba katika Kristo Yesu.
Karibuni katika muendelezo wa mfululizo wa kipindi cha Kijiweni na Roho Mtakatifu ambapo tunazidi kuwa na mazungumzo pamoja na Mwana wa Mungu ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ambayo amepatiwa na Bwana.
Je, unajua siri za kutawala na kutiisha mazingira na hadi wanyama wakuzungukao?
Basi karibu katika kipindi hiki ujionee jinsi ilivyo maajabu namna Wafalme wa Kikuhani wanatawala.
Tunazidi kuwashukuru nyote mnaojitoa kwa kila namna ili kuwezesha maono ya Bwana ambayo amewekeza kupitia Kijiweni na Roho Mtakatifu.
Mmebarikiwa sana na Bwana wa majeshi na Amani
Karibuni mezani pa wafalme tufurahie chakula hili cha wakuu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: