Kijiweni na Roho Mtakatifu na MK9
Автор: Kijiweni na Roho Mtakatifu tv
Загружено: 2025-07-26
Просмотров: 59
Shalom Wana na Urithi wa Mungu Baba katika Kristo Yesu, mlio makao ya Baba yaani mahali pa pumziko na mafanikio. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na izidi kufurika kwenu katika kumjua Yeye.
Ni Kijiweni na Roho Mtakatifu, tunawaletea mfululizo mpya wa vipindi mbalimbali kwa namna mpya na ya kipekee tukiwa na mfalme wa kikuhani ambaye pia ndio mkurugenzi wa kampuni ya MK9 pamoja na wana wengine walio wasimamizi katika kampuni hii.
Je wajua?
🎖️Wana wa Mungu wanafunua mamlaka walionayo katika Kristo Yesu hata katika kutiisha wanyama na viumbe vingine?
🎖️Viumbe na wanyama vingine wanatutii kwa sababu na sisi tumetii na kukaa chini ya BWANA wa mabwana wote.
🏅Kutokujua mamlaka uliyonayo katika Kristo Yesu inakupelekea kutotiisha mazingira na viumbe vikuzungukavyo hivyo kukufanya kuwa mtumwa wa kila kitu kinachokuzunguka.
Kujua mambo mengine kedekede, basi kaa chonjo kufuatilia mfululizo huu unaofuata.
Karibuni Kijiweni.
“Kijiwe ni Kimoja tu; Kijiweni na Roho Mtakatifu”
“Tulio na Mungu, Tuna Roho wa Mungu.”
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: