“Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo.” 1 Kor 11:1 NEN
Автор: Kijiweni na Roho Mtakatifu tv
Загружено: 2024-11-19
Просмотров: 82
“Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo.”
1 Kor 11:1 NEN
Shalom Wana na Urithi wa Mungu Baba katika Kristo Yesu, hongereni sana kwa kuzidi kufuatilia mfululizo mzima wa Huduma ya Wana [miaka 0-14].
Karibu tena leo mezani tukiwa tuna mambo mazuri tukiwa tayari kuwashirikisha ikiwa ni siri kubwa pia katika malezi.
Ikiwa ni sehemu ya mwisho kwa mfululizo huu, pia tunakaribisha kwa jambo ambalo umeelewa au Ushuhuda wako katika vipindi vyote vilivyopita.
Karibu mezani pa Kifalme tupate kushirikishana.
Tunashukuru sana kwa wote mnaojitoa kwa namna zote kuanzia nyinyi wenyewe na mengine yote ikiwa muda, MBs, fedha, vifaa na mengineyo. Mmebarikiwa na Bwana wa Majeshi na Amani katika fedha, mali na dhahabu.
Tunawapenda sana.
#Kijiwe ni kimoja tu, Kijiweni na Roho Mtakatifu.
“Tulio na Mungu, Tuna Roho wa Mungu.”
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: