MASAI DANCE
Автор: RuYACC TV
Загружено: 2025-03-22
Просмотров: 326
hii ngoma inachezwa na kabila la wamasai wakati wa kutafuta mchumba. Vijana wa Kimasi inapofikia kipindi cha kutafuta Mchumba kulingana na utaratibu wa mira na desturi za kimasai vijana kike na kiume ukusanyika na kucheza ngoma hii kwa lengo la kutafuta Mchumba
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: