🔴 LIVE: WAZIRI MKUU ANAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI VITUO VYA MAJI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 351
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 anaweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: