TCAA WAJIPANGA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 45
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Salim Msangi amesema licha ya kuwa na akili mnemba (AI) wamejizatiti kuendana na teknolia hiyo kwani hakuna budi kwani dunia inabadilika .
Hayo ameyasema leo jijini Dar es salaam kwenye Mkutano wa 45 wa mwaka wa Chama Cha Waongoza Ndege Tanzania (TATCA) ambapo amesema wamefunga mifumo ya kisasa katika viwanja 15 nchini ambapo itasaidia kuongeza ufanisi kwenye sekta ya anga.
Msangi amesema anga la Tanzania limekuwa la uhakika kwani ni salama hivyo limevutia ndege nyingi kupita kwenye anga la nchi yetu hivyo kuaminika kutokana na vifaa vya mawasiliano vilivyo imara.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: